Kic'lela

Kic'lela ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wac'lela. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kic'lela imehesabiwa kuwa watu 90,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kic'lela iko katika kundi la Kikainji.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search